1998
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1994 |
1995 |
1996 |
1997 |
1998
| 1999
| 2000
| 2001
| 2002
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1998 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 10 Oktoba - Nash Aguas, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 7 Januari - Vladimir Prelog, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 9 Januari - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 8 Februari - Halldor Laxness, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1955
- 27 Februari - George Hitchings, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 16 Machi - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 19 Aprili - Octavio Paz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1990
- 7 Mei - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 29 Mei - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani
- 8 Juni - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 18 Juni - Joatham Mporogoma Mwijage Kamala, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 26 Agosti - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 2 Septemba - Allen Drury, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1959
- 6 Septemba - Akira Kurosawa, mwongozaji wa filamu kutoka Japani
- 13 Septemba - George Wallace, mwanasiasa kutoka Marekani
- 30 Septemba - Robert Lewis Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 7 Desemba - Martin Rodbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
- 13 Desemba - Norbert Zongo, mhariri wa gazeti nchini Burkina Faso, aliuawa
- 20 Desemba - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
